| Mkurugenzi wa IT wa Vodacom Tanzania Plc, Athuman Mlinga (katikati), akizungumza kwenye mdahalo na kuwasilisha mada kuhusu Utawala na Uhakika wa TEHAMA. Vodacom Tanzania imeshiriki katika mkutano wa mwaka wa ISACA Tanzania jijini Arusha, ambapo wataalam wa masuala ya usalama wa mtandao na teknolojia walikutana kujadili namna ambavyo kila mmoja anaweza kushiriki katika kuimarisha usalama wa mifumo yake. Wengine kushoto ni Mkaguzi mkuu wa hesabu za ndani TASAC, Ahadi Chacha na Mshauri wa IT KPMG, James Chotamawe |
No comments:
Post a Comment