| Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya simu za mkononi ya Vodacom Tanzania PLC, Setholizwe Mdlalose (kushoto) akipokea maoni kutoka mteja wao, mtoa huduma kwenye Service Desk Uyole, Khadija Omary wakati wa ziara ya kuwatembelea wateja na kuangalia shughuli za masoko za kampuni hiyo jijini Mbeya. |
No comments:
Post a Comment