Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Absa Banner_170926

Absa Banner_170926

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Friday, 15 April 2022

USIKOSE MECHI YA SIMBA DHIDI YA ORLANDO PIRATES JUMAPILI HII NDANI YA DStv PEKEE!



Jumapili hii tena ndani ya Simba watatuwakilisha Tanzania katika mashindano ya Kombe la Shirikisho, wakiwa wenyeji wa mechi hii dhidi ya Orlando Pirates.

Kwa mchongo wa TShs 9,900/= tu utapata kutazama mechi hii Live kupitia SS Football 225 ndani ya @dstvtanzania pekee.

Lipia mapema kwa kupiga *150*53# ili usikose burudani hii.

#DStvEwaaaah

#BirianiIendelee

No comments:

Post a Comment