Katika mwendelezo wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, Benki ya NMB iliandaa Futari iliyohudhuriwa na Waheshimiwa Wabunge, viongozi wa Dini mbalimbali, Uongozi wa NMB na baadhi ya wateja katika viwanja vya Bunge jijini Dodoma.
Afisa Mkuu wa Wateja Binafsi na Biashara Benki ya NMB - Filbert Mponzi akizungumza wakati wa hafla ya kufuturisha Jijini Dodoma. |
No comments:
Post a Comment