Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 9 March 2022

WAFANYAKAZI WA NCBA - SIKU YA WANAWAKE DUNIANI

Joyce Ndyetabura, Mkuu wa Biashara wa Benki ya NCBA, akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022.
Rosemary Ihadike, Meneja mahusiano, bima na masuluhisho wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleoi dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022.
Godson Muro, Meneja wa Operesheni za Mikopo wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022.
Meshack Massawe, afisa usimamizi wa biashara wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022.
Rahim Kanji, Mkuu wa kitengo cha biashara rejareja na bima wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. 
Zainab Mushi, Mkuu wa Rasilimali watu wa benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022. 
Margaret Karume, Mkurugenzi Mkuu na Afisa Mkuu Mtendaji wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022.
Gloria Njiu, Mkuu wa Biashara za Kidijitali wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022.
Judith Warioba, Mkuu wa taasisi wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022.
Caroline Mbaga, Mkuu wa Masoko, Mawasiliano na Uraia wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022.
Sudi Koshuma, Meneja Msaidizi wa Marejesho ya Mikopo wa Benki ya NCBA akionyesha ishara ya kuvunja upendeleo dhidi ya Wanawake kwenye Siku ya Wanawake, duniani tarehe 8 Machi 2022.

No comments:

Post a Comment