| Watumishi wanawake wa Wizara ya Fedha na Mipango wakishangilia wakati wakiingia uwanjani walipoungana na wanawake duniani kuadhimisha siku ya wanawake duniani ambapo kimkoa yamefanyika wilaya ya Chemba mkoani Dodoma. Maadhimisho hayo kwa mwaka 2022 yana kauli mbiu ‘Kizazi cha Haki na Usawa kwa Maendeleo Endelevu, Tujitokeze kuhesabiwa. |
No comments:
Post a Comment