Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 28 February 2022

WHAT 36 NEW DUBAI EXPO 2020 DEALS MEAN FOR TANZANIA


The 36 Memorandums of Understanding (MoU's) were signed during the Tanzania Business and Investment Forum in Dubai and aim to generate investments worth 7.49 billion US Dollars (about 17.8 trillion Shillings) and create 204,575 jobs over the next four years.

The agreements were reached between the two governments and between private sectors from Tanzania and the UAE, in an event graced by the Tanzanian President Samia Suluhu Hassan.

Among key sectors which will benefit from investments are energy, agriculture, tourism, infrastructure, transportation, textiles, ICT, construction.

Twelve MoU's were signed between the Tanzanian government and investors, while 23 MoU's were signed between Tanzanian companies and various investors seeking joint ventures or collaboration in various sectors in the economy.

Similarly, one MoU was signed between Zanzibar's Ministry of Trade and Industrial Development and potential investors in the tourism industry, specifically in the area of conference tourism.

"TANZANIA IS READY TO TAKE OFF" - PRESIDENT SAMIA COMMITS TO CONTINUE UNLOCKING THE COUNTRY

President Samia Suluhu Hassan addresses participants at the Tanzania Business Forum - Dubai Expo 2020 in the United Arab Emirates yesterday.

President Samia Suluhu Hassan yesterday made an assurance to the business opportunity in the United Arab Emirates (UAE) that Tanzania was ready to take off.

The Head of State made the assurance as part of her ambitious aspirations to continue unlocking Tanzania to the rest of the world.

"Tanzania is ready to take off... we are ready to take off and let's fly together. Be assured of my government's commitment to continue creating a better environment for doing business", stated President Samia yesterday.

She was speaking at a meeting between the UAE and Tanzania business community during the Business and Investment Forum held in Dubai yesterday as part of the special day for Tanzania at the Expo Dubai 2020.

Friday, 25 February 2022

TCB YATOA VIFAA VYA USALAMA BARABARANI KWA POLISI

Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB), Deogratius Kwiyukwa (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni, Notkey Kilewa, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya kuongeza usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupumzikia askari wa kitengo hicho. Makabidhiano hayo yamefanyika katika kituo kikubwa cha Polisi cha Oystebay jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Meneja wa Benki ya TCB - Tawi la Ubungo, Abas Juma pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki Ubungo, Amina Saidi.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB), Deogratius Kwiyukwa (kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya kuongeza usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupumzikia askari wa kitengo hicho.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB), Deogratius Kwiyukwa (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni, Notkey Kilewa, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya kuongeza usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupumzikia askari wa kitengo hicho. Wengine pichani ni Meneja wa Benki ya TCB - Tawi la Ubungo, Abas Juma pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki Ubungo, Amina Saidi.
Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni, Notkey Kilewa, akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa vifaa vya kuongeza usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupumzikia askari kutoka Benki ya TCB. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania, Deogratius Kwiyukwa pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki Ubungo, Amina Saidi.
Picha ya pamoja.

SIMBA TENA NDANI YA KOMBE LA SHIRIKISHO!

 

Simba tena ndani ya Kombe la Shirikisho!

Safari hii ni kitonga!! Kwa TShs. 9,900/= tu utapata kuitazama mechi hii Live ndani ya @dstvtanzania pekee.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi ili usikose mtanange huu @edgarkibwana.

#BirianiIendelee

ZAWADI ZA NMB MASTABATA KIVYAKOVYAKO ZAFIKIA MIL. 80


Dodoma - Jumla ya Shilingi Milioni 80,000,000 zimetolewa na Benki ya NMB kwa wateja 80 waliojishindia katika droo ya MastaBata Kivyakovyako.

Draw ya 8 ya shindano la MastaBata kivyakovyako limechezeshwa jijini Dodoma na Benki ya NMB kwa wateja wanaotumia kadi za Mastercard kwa ajili kufanya miamala popote nchini.

Afisa Mahusiano wa Benki ya NMB tawi la Kambarage Jijini Dodoma Shukuru Mhagama ambako droo hiyo imefanyika Shukuru Mhagama, alisema walianza Desemba 24, 2021 na droo itahitimishwa Machi 23, 2022.

Mhagama amesisitiza Wateja wanaotumia NMB Mastercard kufanya malipo kwenye POS, QR au mitandaoni ndiyo ambao wanaingia kwenye droo hiyo.



Kila wiki wanapata washindi 100 ambao kila mmoja anajishindia kitita cha Shillings 100,000, kuna washindi 25 wa mwezi ambapo kila mmoja anashinda Sh Milioni 1 na mwisho wa shindano kutakuwa na droo kubwa ya washindi 30 kuondoka na Shilingi Milioni 3.

Mwakilishi kutoka Bodi ya Michezo ya bahati nasibu, Ibrahim Sikana alisema hakujawahi kuwa na kelele wala malalamiko katika droo zote za NMB hivyo wanaamini kila jambo huendeshwa kwa utaratibu ndani ya benki hiyo.

Meneja wa Tawi la Kambarage, Emiliana Wilson aliwataka wateja kuendelea kuiamini Benki ya NMB na kuitumia kwani ni Benki pendwa inayotoa huduma zake katika maeneo mengi nchini.

Thursday, 24 February 2022

STANBIC BANK KEEN ON SUPPORTING THE MINING SECTOR

Stanbic Bank’s Corporate Banking Manager - Aboubakar Massinda, highlights the bank's role in supporting the government's vision of increasing contribution of the Mining sector to the national GDP. This was during a panel discussion at the Tanzania Mineral and Mining Investment Conference held at Julius Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam.

On 22 February 2022, Stanbic Bank Tanzania sponsored the Tanzania Mineral and Mining Investment Conference held at the Julius Nyerere International Convention Centre in Dar es Salaam. As part of the bank's role to support conversations around initiatives to drive the growth of the Mining sector.

We sat with Stanbic Bank Tanzania’s Corporate Banking Manager, Aboubakar Massinda to discuss the bank’s contribution to the mining sector and share his perspectives on the other elements that drive the sector’s growth and support the government vision to raise mining's contribution to Tanzania's GDP from the current 6.7 percent to 10 percent by 2025.

QUESTIONS

Q: The bank has been playing a critical role in supporting the country’s key sectors such as Mining. What informed Stanbic Bank Tanzania’s decision to participate in this year’s 4th Tanzania international Minerals and Mining Investment Conference?

A: One of our priorities for the bank this year is to increase our contribution towards the growth of the mining sector, hence our decision to sponsor the conference this year. In addition to this, Stanbic Bank Tanzania is a member of the Tanzania Chamber of Mines, this partnership allows us to be in the front and centre of all matters related to mining in the country. As leading experts in the mining sector from a banking perspective, we are keen to contribute to dialogue that will shape policy and decisions in the mining sector.

OIL SURGES TO $100 A BARREL FOR FIRST TIME SINCE 2014

Russian President Vladimir Putin announced a military assault against Ukraine early Thursday morning in Russia.

Russia is a large exporter of oil and gas, and any supply disruption could worsen energy inflation.European benchmark natural gas and power prices soared 30% in response.

Crude oil hit $100 a barrel for the first time in over seven years on Thursday, as energy prices surged after Russian President Vladimir Putin announced a military assault against Ukraine.

Reports of explosions and flares across Ukraine came minutes after the speech broadcast early morning in Russia.

Brent crude futures breached $100 a barrel in Asia for the first time since 2014. The price was last up 5.67% at $99.38 at 3:27 a.m. ET. US benchmark West Texas Intermediate futures were also up 5.92% at $97.55 a barrel.

European natural gas futures roared higher, with Dutch and UK benchmark prices rising by 30% in the space of a day the most in almost two months while key German power prices rose 28%.

Russia is one of the largest exporters of oil and gas, and investors fear the crisis could disrupt energy supply, which in turn would add to already red-hot global consumer inflation. It supplies roughly 40% of the European Union's natural gas and any threat to that supply could drive regional prices even higher, analysts said.

"What we have said about oil is even more true of natural gas: any outage of Russian deliveries would be virtually impossible to offset, especially for Europe," strategists at Commerzbank said in a daily note. "Though European gas stocks should last until the end of the winter, the restocking needed for next winter would then be hardly possible," they added.

Russia competes with the United States and Saudi Arabia for the top spot in exports and was the world's third-largest oil exporter in 2020, so "thescale of disruptionandcorresponding difficulty in substituting for lost Russian supplymean thatprice sensitivity to Russian oil disruptions are high," said Vishnu Varathan, Mizuho Bank's head of economics and strategy in a note sent on Thursday before Putin's announcement.

ATCL TO ENTER INTO PARTNERSHIP WITH KLM AND EMIRATES


Dar es Salaam - Air Tanzania Company Limited (ATCL) is in the final stages of signing partnership agreements with Emirates and the Royal Dutch Airline- KLM that will help connect its passengers to destinations in the United States and Europe.

The national carrier also said it was in the final stages of talks with China’s Aviation authorities over a similar arrangement.

“These companies are the largest in the world as an effort to expand the network will start partnerships with them while we prepare to go to the United States and Europe,” said the ATCL managing director Ladislaus Matindi.

He was speaking during the tour by deputy Permanent Secretary in the Ministry of Works and Transport Dr Ally Possi adding that the carrier is currently working with Rwandair, Ethiopian airlines, Qatar Airways and Air India.

A TRIBUTE TO THE LATE PROF. BENNO NDULU

CHINA DASHENG BANK CHIEF WELCOMES DEPOSITORS


Speaking at the launch of the 3-month deposits campaign run by CHINA DASHENG BANK the CEO of the bank assures customers that they will earn high interest rate from the levels of 3% to 5.75% per annum if they invest their United States Dollar currency with the bank. This campaign provides an opportunity to Fund Managers, Securities Companies, and organisations with excess foreign currency to place their funds while waiting for the project or needs to mature for utilisation.

“Organisations and individuals who have excess funds that await projects can take this opportunity to invest from 3 months to 1 year and get high interest rates of up to 5.75%, Mr Cheng Ji the CEO of CHINA DASHENG BANK said.

CHINA DASHENG BANK has been in operation for 3 years now in Tanzania serving corporate, SME, and retail customers. The bank was registered and opened in Tanzania for the first time in November 2018 and has steadily been growing to date. The head office and the branch of the bank is located along Samora Avenue in Dar es salaam. The bank focuses to support business and traders doing business between China and Tanzania. These include Contractors, Transport and Logistics companies, Importers and Manufacturers.

ABSA FINANCIAL MARKETS INDEX (AFMI 2021) LAUNCHED AS TANZANIA RECORDS SOLID PROGRESS IN KEY PILLARS

Bank of Tanzania Governor, Prof. Florens Luoga (5th left), and Absa Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed (4th left), launch the 2021 Absa Africa Financial Markets Index Report in Dar es Salaam. Looking on from left are, Absa Group Head of Macro and Fixed Income & Currencies, Jeff Gable, Absa Global Markets Director, Esther Maruma, CMSA Chief Executive Officer, Nicodemus Mkama, Ministry of Finance Deputy Permanent Secretary - Economic Management Policies, Lawrence Mafuru, Absa Board Chairman, Simon Mponji, NBC Bank Managing Director, Theobald Sabi and Absa Compliance and Legal Director, Irene Sengati-Giattas.
Bank of Tanzania (BOT) Governor, Prof. Florens Luoga (centre), is rewarded by Absa Bank Tanzania Board Chairman, Simon Mponji, as Absa's token of congratulations for his recent winning of the Central Banker of the Year Award for Africa 2021, issued by The Banker Magazine shortly after the BOT Chief officiated at the launch of the 2021 Absa Africa Financial Markets Index Report in Dar es Salaam. Looking on is Absa Bank Tanzania Managing Director, Abdi Mohamed.

Absa Bank Tanzania has launched the Fifth Africa Annual Africa Financial Markets Index (AFMI) 2021 at an event officiated by the Governor of Bank of Tanzania, Prof. Florens Luoga. The event held in Dar es Salaam brought together financial markets stakeholders and regulators and was attended by the Deputy Permanent Secretary Ministry of Finance – Mr Lawrence Mafuru , the Chief Executive Officer CMSA, Country Representative International Finance Corporation and CEO's from Private Sector Organisations.

The AFMI is an initiative of Absa Group in partnership with OMFIF (Official Monetary and Financial Institutional Forum) and provides a dataset (or information repository) that allows for sharing of best practice and objective comparison across different markets. The intent of the AFMI report is initiate and facilitate productive discussions amongst players in the financial sector. The starting point for the Absa Financial Markets Index (AFMI) is to support effective financial market development, with the core target of the Index being to facilitate the right conversations, among all financial markets’ stakeholders, in ensuring that Africa is well placed to attract global capital. The index successfully captures a huge mix of African economies from Seychelles to Nigeria, while the Eastern parts of the continent are represented by Tanzania, Kenya, Ethiopia, Uganda, and Rwanda. As a reflection of the global push towards sustainability, this is the first year that the index has included ESG indicators. The availability of sustainable finance products, such as green bonds and equities, now contributes to countries’ scores.

Wednesday, 23 February 2022

KILIMANJARO RC HAILS ABSA BANK OVER TREES DONATION

The Kilimanjaro Regional Commissioner (RC), Stephen Kagaigai (right) receives a sample tree seedling from the Absa Bank Head of Marketing and Corporate Relations, Aron Luhanga (centre) when the bank donated 2,100 indigenous tree seedlings to Kilimanjaro Region at the RC's office in Moshi. On the left is the Absa Bank Moshi Branch Manager, Pendo Abdallah.
The Kilimanjaro Regional Commissioner, Stephen Kagaigai (right) witnesses as the Absa Bank Head of Marketing and Corporate Relations, Aron Luhanga plants a tree to signify the bank's donation of 2,100 indigenous tree seedlings to Kilimanjaro Region. Witnessing are the Absa Bank Moshi Branch Manager, Pendo Abdallah and Sales Representative Saidi Borakupata

The Kilimanjaro Regional Commissioner (RC) Stephen Kagaigai has commended the management of Absa Bank Tanzania Limited, for its significant contribution to improving the environment in the country, including within the region.

Kagaigai made the remarks on Wednesday when he receiving a total of 2,100 seedlings of indigenous trees from the bank's management at the RC’s office, in Moshi.

“Different efforts meant to improve the environment have contributed significantly to the ongoing well-being of our region’s environment; I commend Absa for the contribution, may I take this opportunity to urge other institutions to emulate your institution”, he said and added that the government will continue supporting different investors to achieve their goals.

He also commended the management of Absa Bank Tanzania Limited for providing indigenous tree seedlings that contribute significantly to the conservation of water sources.

MKURUGENZI MTENDAJI VODACOM AZURU VYOMBO VYA HABARI VYA IPP MEDIA, MWANANCHI NA CLOUDS MEDIA

Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose (wapili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One na Capital Tv/Capital Radio, Joyce Mhavile (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) na Mkurugenzi wa Masoko wa ITV/Radio One na Capital Tv, Joyce Luhanga, mara baada ya Mkurugenzi mpya wa Vodacom kutembelea ofisi za IPP Media na kupata fursa ya kujionea utendaji kazi pamoja na kujitambulisha kwa wafanyakazi wa vyombo hivyo.
Mwenyekiti wa Clouds Media Group Joseph Kusaga (kushoto) akifanya mahojiano na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose kuhusu mipango-mkakati ya Vodacom kwa mwaka huu wa 2022 wakati Mkurugenzi huyo alipotembelea ofisi za Clouds Media na kupata fursa ya kujitambulisha kwa wafanyakazi chombo hicho.
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose akiwa kwenye chumba cha habari cha ITV na kufanya mahojiano wakati wa ziara ya Mkurugenzi huyo kwenye ofisi za IPP Media na kupata fursa ya kujitambulisha kwa wafanyakazi vyombo hivyo.
Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose (kulia) akizungumza na Mkurugenzi Mtendaji wa Mwananchi Communications Ltd, Bakari Machumu (kushoto) Mkurugenzi huyo alipotembelea kwenye za Mwananchi na kupata fursa ya kujitambulisha kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo. Katikati ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia.
Meneja Matangazo EATV, Lidya Igarabuza (kushoto) akifanya mahojiano na Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose kuhusu mipango-mkakati ya Vodacom kwa mwaka huu wa 2022 wakati wa ziara ya Mkurugenzi huyo mpya wa Vodacom kutembelea ofisi za IPP Media ambapo EATV/Radio ni mojawapo.
Mhariri Mkuu wa Gazeti la The Guardian, Wallace Maugo (kulia) akielezea namna ya uendeshaji wa kila siku wa gazeti hilo kwa Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose (wa tatu kulia) na Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania PLC , Rosalynn Mworia (kushoto).
Mwenyekiti wa Clouds Media Group Joseph Kusaga (katikati) akimkaribisha Mkurugenzi wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose kwenye kipindi cha XXL Clouds Fm kinachoongozwa na Adam Mchomvu (kulia).

DKT NCHEMBA AIOMBA GLOBAL FUND KUSAIDIA VIFAA TIBA

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), akisalimiana na Mkuu wa Idara ya Afrika wa Mfuko Dunia wa Kupambana na Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu Bw. Linden Morrison, alipomtembelea na kufanya mazungumzo naye katika Ofisi za Hazina, jijini Dar es Salaam.
Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba (Mb), (wa tatu kulia) akiwa katika picha ya pamoja na ujumbe kutoka Mfuko wa Dunia wa Kupambana na Ukimwi, Malaria na Kifua Kikuu uliiongozwa na Mkuu wa Idara ya Afrika Bw. Linden Morrison (wa tatu kushoto) baada ya kikao kilichofanyika jijini Dar es Salaam. Kutoka kulia ni Kamishna wa Madeni wa Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Japhet Justine, Kamishna wa Fedha za Nje Bi. Sauda Msemo, kutoka kushoto ni Afisa Dawati wa Global Fund wa Wizara hiyo Bi. Mukajungu Kamuzora na Bw. Nelson Msuya, Mwakilishi wa Global Fund-Tanzania.

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam

Waziri wa Fedha na Mipango Mhe. Dkt. Mwigulu Lameck Nchemba, ameuomba Mfuko wa Dunia (Global Fund), kuisaidia Tanzania Vifaa Tiba ili kwenda sambamba na juhudi za Serikali za kujenga miundombinu ya afya kwa kasi ili kuboresha masuala ya tiba kwa wananchi.

Dkt. Nchemba ametoa rai hiyo Jijini Dar es Salaam alipokutana na kufanya mazungumzo na Mkuu wa Idara ya Afrika wa Global Fund Bw. Linden Morrison aliyeko nchini kwa ziara ya kikazi ambapo wamejadili masuala kadhaa muhimu ya ushirikiano kati ya Tanzania na Mfuko huo.

“Serikali ya Awamu ya Sita imewekeza rasilimali kubwa katika ujenzi wa Zahanati, vituo vya afya na Hospitali ambazo zimejengwa kwa kasi kila mahali nchini lakini changamoto kubwa iliyopo na ambayo tungeomba mtusaidie ni vifaa tiba vya kisasa vitakavyoiwezesha Serikali kutoa huduma zilizokusudiwa kwa wananchi” alisema Dkt. Nchemba.

CARABAO CUP FINAL CHELSEA VS LIVERPOOL NDANI YA DStv

 

Carabao Cup FINAL ni 🔥🔥 ndani ya @dstvtanzania pekee

⚽Chelsea vs Liverpool
📺 SS Football Africa, 225
🕰️ 01:30 Usiku

Je tutegemee matokeo gani?

Mtanange huu kuruka Live ndani ya Bomba kwa TShs 21,000 tu, unakosaje?

Bonyeza *150*53# kulipia kifurushi chako kwa urahisi.

#Birianiiendelee

WANADIASPORA WAHAMASISHWA KUTUMIA BIDHAA ZINAZOBUNIWA KWA AJILI YAO

Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Tagie Daisy Mwakawago akisaini Kitabu cha Wageni kwenye Makao Makuu ya Benki ya NMB jijini Dar es Salaam hivi karibuni. Anayeshuhudia ni Lucy Kimei (Senior Relationship Manager) wa Benki ya NMB. Bi. Mwakawago alitembelea benki hiyo kujadili na uongozi kuhusu unazishwaji wa bidhaa mpya kwa ajili ya diaspora na maendeleo ya matumizi ya bidhaa zilizopo kwa wanadiaspora.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Tagie Daisy Mwakawago (aliyekaa) akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya watumishi wa benki ya NMB baada ya kufanya mazungumzo na watumishgi hao.
Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Diaspora katika Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Bi. Tagie Daisy Mwakawago akiwa na mmiliki wa Hamidu City Park, Bw. Hamidu Mvungi. Hamidu City Park ni mradi wa nyumba uliopo Kigamboni jijini Dar Es Salaam ambao Kaimu Mkurugenzi ameenda kuuona ili kujiridhisha kwa ajili ya kuwahamasisha wanadiaspora kununua nyumba kwenye mji huo.
Sehemu ya nyumba zinavyoonekana kwenye mji huo.

Tuesday, 22 February 2022

MAENDELEO KATIKA SEKTA YA HABARI, MAWASILIANO NA TEKNOLOJIA YA HABARI

Mkurugenzi Mtendaji wa MultiChoice Tanzania Jacqueline Woiso.
  • Mwaka mmoja wa Rais Samia Suluhu Hassan
Nukuu za Mkurugenzi Mtendaji wa MultiChoice Tanzania Jacqueline Woiso katika mjadala wa Maendeleo katika sekta ya Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari uliofanyika hivi karibuni.

“Mimi kama Mdau katika sekta ya Habari ninaweza kusema kuwa tumeona maendeleo katika sekta ya visimbuzi, hususan katika kipindi cha mwaka mmoja wa uongozi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan. Ndani ya mwaka mmoja kuna mabadiliko makubwa yametokea na yanajenga msingi wa ukuaji endelevu wa sekta ya visimbuzi hapa nchini.

Ushirikishwaji wa wadau; Katika kipindi cha uongozi wa Mama Samia, tumeshuhudia kuimarika sana kwa ushirikishwaji wa wadau katika kujadili na kufikia maamuzi ya masuala yanayohusu sekta ya visimbuzi hapa nchini pamoja na Wadau wengine wakiwemo vituo vya Utangazaji na wazalishaji wa Maudhui ya mtandao (online content providers).

BENKI YA DUNIA YAIPATIA TANZANIA MKOPO NAFUU WA SH. TRILIONI 1.5 KUENDELEZA SEKTA ZA ELIMU NA ARDHI

Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi. Mara Warwick wakisaini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi na mradi wa kuimarisha usalama wa milki za ardhi nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi. Mara Warwick , wakibadilishana hati za mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi na mradi wa kuimarisha usalama wa miliki za ardhi nchini.
Katibu Mkuu wa Wizara ya Fedha na Mipango, Bw. Emmanuel Tutuba (kulia) na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania, Mhe. Bi. Mara Warwick, wakionesha mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.501 kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi na mradi wa kuimarisha usalama wa miliki za ardhi nchini.

Na Benny Mwaipaja, Dar es Salaam

TANZANIA na Benki ya Dunia zimetiliana saini mikataba miwili ya mkopo wenye masharti nafuu wenye thamani ya dola za Marekani milioni 650 sawa na shilingi trilioni 1.5 za kitanzania kwa ajili ya kugharamia utekelezaji wa mradi wa kuboresha elimu ya msingi (BOOST) na mradi wa kuimarisha usalama wa umiliki wa ardhi nchini.

Mikataba hiyo imesainiwa na Katibu Mkuu na Mlipaji Mkuu wa Serikali kutoka Wizara ya Fedha na Mipango Bw. Emmanuel Tutuba kwa niaba ya Serikali na Mkurugenzi wa Benki ya Dunia nchini Tanzania Bi. Mara Warwick.

Akizungumza baada ya kusainiwa kwa mikataba hiyo, Bw. Tutuba alisema kuwa fedha hizo zimetolewa na Benki ya Dunia kupitia mgao wa masharti nafuu wa Mzunguko wa IDA 19, ambapo dola za Marekani milioni 500 zitatumika kuboresha elimu ya msingi na kiasi kingine cha dola za Marekani milioni 150 kitatumika kuimarisha usalama wa milki za ardhi hapa nchini.

Bw. Tutuba alisema kuwa miradi iliyo chini ya Mikataba iliyosainiwa inatekeleza Mpango wa Tatu wa Taifa wa Maendeleo wa Miaka Mitano (2021/22–2025/26) na ni sehemu ya ajenda kuu ya Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Mh. Rais Samia Suluhu Hassan, inayolenga kujenga uchumi shindani wa viwanda kwa maendeleo ya watu kupitia mikakati mbalimbali.

CLYDE & CO UPDATER - DOING BUSINESS IN TANZANIA: TRADE AND SERVICE MARKS REGISTRATION


In this month’s briefing, we look at how entities engaged in doing business in mainland Tanzania can protect their trade and service marks (Trademarks).

Trademark registration is governed by the Trade and Service Marks Act of 1986 and Trade and Service Marks Regulations of 2000, as amended. Trademark registration is done through the Business Registrations and Licensing Agency’s (BRELA) Online Registration System (ORS). It is important to take note of some of the information and documents required in an application for Trademark registration:
  1. A duly completed consolidated form.
  2. Name, occupation and address of the applicant.
  3. A power of attorney to appoint a Trademark agent (if required).
  4. An image of the proposed mark (except for word marks in ordinary type). 
  5. A priority document (if applicable) with a verified English translation, if the proposed Trademark is in a language other than English.
  6. A specification of Nice Classification (NCL) description on the goods and services for which the Trademark is to be registered.
Further to paragraph “6” above, NCL is an international classification of goods and services established by the Nice Agreement of 1957 and applies to Trademark registration.

The application fee is TZS 65,000 (approximately USD 28) which includes TZS 50,000 (approximately USD 22) registration fee and TZS 15,000 (approximately USD 6) advertisement fee. Please note that fees may change over a specific period.

Once the required information is filed on ORS and accepted, BRELA will advertise it on the Trademark journal.

Continue Reading > > >

CLYDE & CO UPDATER - PERFORMANCE SECURITY BONDS IN TANZANIA


A Performance Security Bond (Performance Bond) is a contract of guarantee in which one party (the Guarantor) promises to discharge the liability of a third party in the event of default. Performance Bonds are designed to ensure the performance of duties by parties to a contract. In this month’s legal update, we highlight the key aspects of Performance Bonds and their implications in Tanzania.

The following laws are applicable to this article:
  • The Banking and Financial Institutions Act No. 5 of 2006 (the BFI Act)
  • The Law of Contract Act, Cap 345 R.E. 2019 (the LCA)
  • The Public Private Partnership Act No. 18 of 2010 (as amended)
  • The Public Procurement Regulations, GN No. 446 of 2013 (as amended) (the Regulations)
Performance Bonds are governed by the provisions of the LCA. It should be noted that banks and financial institutions are among the main providers of Performance Bonds in Tanzania alongside insurance companies. Banks and financial institutions are permitted to issue guarantees pursuant to section 24 (1) (f) of the BFI Act.

How Performance Bonds are commonly used in Tanzania

In Tanzania, Performance Bonds are commonly used in public-private partnerships (PPPs) where a Government agency/authority (the Beneficiary) seeks expertise from a private entity (the Supplier). Under such circumstances, the Beneficiary would require the Supplier to obtain a Performance Bond as a guarantee to perform the required services.

The submission of a Performance Bond under the PPP regime is provided for under regulation 29 (1) of the Regulations which provides as follows:

“(1) The procuring entity shall require the successful tenderer to submit a performance security to guarantee the faithful performance of the contract and payment of all labourers, suppliers, mechanics and subcontractors, if any”.

Continue Reading > > >

MAWAKALA WA EZYPESA WANOLEWA

Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Zantel, Moses Alphonce akizungumza wakati wa semina ya uboreshwaji wa huduma ya Ezypesa iliyoandaliwa na Zantel inayojulikana kama Ezypesa Forums 2022. Kushoto kwake ni Anne Killindu na Suleiman Salum Abdalla (kulia kwake) ambao ni Maafisa wa Ezypesa.
Afisa wa huduma ya Ezypesa, Eunice Hubert akitoa taaluma kwa mawakala wa Ezypesa katika semina ya uboreshwaji wa huduma za Ezypesa iliyoandaliwa na Zantel inayojulikana kama Ezypesa Forums 2022. Kushoto kwake ni Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Zantel, Moses Alphonce.
Baadhi ya mawakala wa Ezypesa wakifuatilia semina ya uboreshwaji wa huduma za Ezypesa iliyoandaliwa na kampuni hiyo (Zantel) inayojulikana kama Ezypesa Forums 2022.
  • Wakumbushwa kuzingatia sheria za utoaji huduma
Zanzibar, February 2022 - Kampuni ya simu za mkononi Zantel, imeendesha mafunzo kwa mawakala wake yenye lengo la kuwakumbusha kuzingatia sheria pamoja na taratibu za utoaji wa huduma ya kifedha ya Ezypesa ili kuongeza ubora wa huduma hiyo kwa wateja.

Hayo yalibainishwa katika mkutano na mawakala wa Ezypesa uliolenga kuwanoa mawakala juu ya kanuni na namna bora ya utoaji huduma kwa wateja uliofanyika Unguja-Kiembesamaki.

Mkuu wa Huduma za Kifedha wa Zantel, Moses Alphonce alisema lengo kubwa la mafunzo hayo ni kuwapa mawakala ujuzi juu ya sheria za nchi, ujuzi juu ya masuala ya wizi mtandaoni pamoja faida za kuwa wakala wa Ezypesa.

BENKI YA CRDB YAWAPA SOMO LA FEDHA WAMACHINGA DAR

Mkuu wa Kitengo cha wateja binafsi, Stephen Adili akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa Wamachinga iliyoendeshwa na Benki ya CRDB tarehe 20/02/2022 katika ukumbi wa PTA Sabasaba. Mafunzo haya yamehudhuriwa na Shirikisho la Umoja wa Wamachinga mkoa wa Dar es salaam (Machinga Saccos) na baadhi ya wawakilishi wa wafanyabiashara hao kutoka Mikoa yote Tanzania ikiwa ni mwendelezo wa ushirikiano tulionao kati ya Benki yetu na wafanyabiashara wadogo (Wamachinga).
Meneja wa Benki ya CRDB Kanda ya Mashariki, Badru Idd akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa Shirikisho la Umoja wa Wamachinga mkoa wa Dar es salaam lililoendeshwa na Benki ya CRDB tarehe 20/02/2022 katika ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es salaam.
Makamu Mwenyekiti wa Shirikisho la Umoja wa Wamachinga mkoa wa Dar es salaam, Steven Lusinde akizungumza wakati wa ufunguzi wa Semina ya Elimu ya Fedha kwa Shirikisho la Wamachinga mkoa wa Dar es salaam lililoendeshwa na Benki ya CRDB tarehe 20/02/2022 katika ukumbi wa PTA Sabasaba, Dar es salaam.

LETSGO NATION WILL BE CONNECTING ON TWITTER SPACE ACROSS AFRICA TO SHARE THEIR ‘POWER TO BE AND DO’ JOURNEYS


17 February 2022, Dar es salaam, Tanzania: On 22 February 2022, Letshego will be taking to Twitter Space to host its latest stakeholder engagement on Twitter with the ever-popular Connect Spaces platform. This sees a celebration of collaborative regional efforts of Letshego’s proudly African LetsGoNation community, while also promoting the inclusive finance entity’s progressive transformation to digital, for the benefit of customers, suppliers and communities across Africa.

Digital warriors who attend the event can look forward to meeting LetsGo event host, Mpoeng Mphoeng, one of Twitter Space’s earliest adopters, and founder of the popular and influential @BWConnectSpaces. Social Enterprise Entrepreneurs and recognisable Influencers of the likes of Vee Mampeezy and Thabiso Mashaba from Botswana, Demola from Nigeria, Neyma from Mozambique, Tracy Owusu Addo from Ghana and Masoud Kipanya from Tanzania will be joining this live online event. Twitter Space is a unique, and fast-growing space for widely-known community trailblazers to share personal insights into their own experiences, learnings and unpack the ingredients for success that brought them the opportunities they celebrate and build on today.

Letshego’s ‘LetsGoNation’ is an online-based community for all Africans to join, network and share experiences, celebrating their passion for our continent and collaboration in building Africa by Africans, in simple terms, ‘Getting it Done’! Fellow Africans who wish to join the movement are invited to sign up at letsgodigitalafrica (@africaondigital) / Twitter . The Twitter Space event will be hosted on Tuesday 22 February at 6pm (CAT)/8pm (GTM)/9pm (EAT).

Monday, 21 February 2022

AFRICAN BANKING TYCOON TONY ELUMELU SHARES HIS TOP 7 RULES FOR SUCCESS

  • He's an economist by training, a visionary entrepreneur and a philanthropist.
  • He's the Chairman of Heirs Holdings, the United Bank for Africa, Transcorp and founder of The Tony Elumelu Foundation.
Tony Elumelu is a Nigerian economist, entrepreneur, and philanthropist. He is the chairman of Heirs Holdings, the United Bank for Africa, Transcorp and founder of The Tony Elumelu Foundation.

The banking tycoon founded The Tony Elumelu Foundation after he retired as chairman of the United Bank for Africa to prove that the African private sector can be the primary generator of economic development. Through TEF Entrepreneurship Programme, the foundation trains and funds 1,000 African entrepreneurs every year to start and grow their businesses.

Today, we’ll reveal the business philosophies behind his huge success that every ambitious entrepreneur should follow. Here are the Top 7 rules for success from the man who coined the term "Africapitalism", Tony Elumelu:

CHANELI ZA NYUMBANI VIFURUSHI VYOTE VYA DStv

 

Zimerudi Kwao….

Furahia kurudi kwa chaneli za nyumbani katika vifurushi vyote vya @dstvtanzania.

Piga *150*53# kulipia kwa urahisi kifurushi chako!

Na kama hujajiunga na @dstvtanzania piga 0659 07 07 07 kujiunga kwa urahisi.

PRESIDENT SAMIA'S REWARDING TOUR IN FRANCE AND BELGIUM

President Samia Suluhu Hassan addresses Dar es Salaam residents after arriving back in the country yesterday from a week-long working tour in France and Belgium.

President Samia Suluhu Hassan yesterday arrived back in the country after a working tour abroad, highlighting achievements recorded including securing a grant of 425 million Euros (about TShs. 1.15 trillion) from the European Comission to fund various development projects.

Speaking to some residents who gathered at Terminal I of the Julius Nyerere International Airport (JNIA) to receive her following a week-long tour in France and Belgium, President Samia said Tanzania will benefit from a number of projects as part of her European working tour.

She mentioned some of the achievements to be expected to include massive rehabilitation of Terminal II of JNIA as well as implementation of phase five of the Bus Rapid Transport (BRT) project in the Commercial City of Dar es Salaam.

"During the visit, we also engaged our partners who advised us on switching to electric buses from the conventional buses either in Dar es Salaam or Dodoma for the BRT lanes," President Samia stated.