Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 25 February 2022

TCB YATOA VIFAA VYA USALAMA BARABARANI KWA POLISI

Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB), Deogratius Kwiyukwa (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni, Notkey Kilewa, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya kuongeza usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupumzikia askari wa kitengo hicho. Makabidhiano hayo yamefanyika katika kituo kikubwa cha Polisi cha Oystebay jijini Dar es Salaam. Wengine pichani ni Meneja wa Benki ya TCB - Tawi la Ubungo, Abas Juma pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki Ubungo, Amina Saidi.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB), Deogratius Kwiyukwa (kulia), akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya kuongeza usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupumzikia askari wa kitengo hicho.
Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania (TCB), Deogratius Kwiyukwa (kushoto), akisalimiana na Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni, Notkey Kilewa, wakati wa hafla ya kukabidhi msaada wa vifaa vya kuongeza usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupumzikia askari wa kitengo hicho. Wengine pichani ni Meneja wa Benki ya TCB - Tawi la Ubungo, Abas Juma pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki Ubungo, Amina Saidi.
Mkuu wa Kitengo cha Usalama Barabarani Wilaya ya Kinondoni, Notkey Kilewa, akizungumza mara baada ya kupokea msaada wa vifaa vya kuongeza usalama barabarani pamoja na vibanda kumi vya kupumzikia askari kutoka Benki ya TCB. Kulia ni Mkurugenzi wa Masoko na Ukuzaji Biashara wa Benki ya Biashara ya Tanzania, Deogratius Kwiyukwa pamoja na Mkuu wa Usalama Barabarani kituo cha Urafiki Ubungo, Amina Saidi.
Picha ya pamoja.

No comments:

Post a Comment