| Mkurugenzi Mtendaji wa Vodacom Tanzania PLC, Sitholizwe Mdlalose (wapili kushoto) akiwa kwenye picha ya pamoja na Mkurugenzi Mtendaji wa ITV/Radio One na Capital Tv/Capital Radio, Joyce Mhavile (wa pili kulia), Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania, Rosalynn Mworia (kulia) na Mkurugenzi wa Masoko wa ITV/Radio One na Capital Tv, Joyce Luhanga, mara baada ya Mkurugenzi mpya wa Vodacom kutembelea ofisi za IPP Media na kupata fursa ya kujionea utendaji kazi pamoja na kujitambulisha kwa wafanyakazi wa vyombo hivyo. |
No comments:
Post a Comment