Ijumaa hii ndani ya Maskani Poa, Chid Benzi na TID wapo tayari kujadili juu ya muziki, je maudhui yaliyopo kwenye nyimbo huendana na maudhui yaliyopo kwenye video...?
Usipange kukosa Ijumaa hii saa 3 usiku kupitia chaneli ya Maisha Magic Poa 144 ndani ya kifurushi cha Poa TShs 9,900/= tu.
Piga *150*53# kulipia kifurushi chako kwa urahisi zaidi.
#ZigoKamaLote
#MaskaniPoa
No comments:
Post a Comment