#TokyoOlympics2020 zinaendelea jijini Tokyo kupitia Chaneli za Michezo SuperSport!
Jumapili hii Mtanzania mwenzetu Gabriel Gaey ataipeperusha bendera ya Tanzania🇹🇿 kwenye mashindano ya Marathon kupitia SS 222 ndani ya kifurushi cha Family TShs. 29,900 tu.
Unachotakiwa kufanya Piga *150*53# kulipia kifurushi chako mapema.
No comments:
Post a Comment