Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Friday, 2 July 2021

TAZAMA TAMTHILIA YA SINIA NDANI YA MAISHA MAGIC BONGO



S.I.N.I.A

Chakula kinapowekwa kwenye sinia inamaana kila mmoja yupo huru kula, lakini pia lazima uwepo mchanganyiko wa mbalimbali ili kufanya mlo uzidi kuwa mzuri.

Sinia ni tamthilia iliyotengenezwa hapa nyumbani yenye visa vya kuburudisha, kusisimua pamoja na kufundisha kukujia kuanzia tarehe 3 Julai ndani ya chaneli ya Maisha Magic Bongo 160.

@maishamagicbongo

Kaa mkao wa kula!

#VyaNyumbaniHuanziaDStv

No comments:

Post a Comment