| Waziri wa Fedha na Mipango, Mhe. Dkt Mwigulu Nchemba (kushoto) akizungumza na maofisa watendaji wakuu wa taasisi mbalimbali za sekta binafsi kwenye mkutano wao wakiwa wajumbe wa CEO Roundtable of Tanzania (CEOrt). Mkutano huu uliofanyika jijini Dar es Salaam ulilenga kuona jinsi gani sekta binafsi zinaweza kushirikiana na serikali katika kufanikisha mipango ya maendeleo ya miaka mitano ijayo ya kukuza uchumi wa Taifa. Kulia ni Mwenyekiti wa CEOrt, Sanjay Rughani. |
No comments:
Post a Comment