| Faith Mpawa, mmoja kati ya wawakilishi wa Kampuni ya Bia ya Serengeti akimwelekeza mmoja wa wafanyakazi wa Baa ya Meridian iliyopo Vijana Kinondoni namna ya kujisajili katika Mpango wa kuzisaidia Baa kunyanyuka maarufu kama "Raise the Bar" unaofadhiliwa na Kampuni ya Bia ya Serengeti. |
No comments:
Post a Comment