Nahodha wa timu ya Taifa, ‘Taifa Stars’ na mshambuliaji wa Klabu ya Fenerbahce ya Ligi Kuu ya Uturuki, Mbwana Samatta (katikati), akipata maelekezo kutoka kwa Mkurugenzi wa Mauzo wa Coca-Cola Kwanza, Eric Ongara (kulia) kuhusu kinywaji cha Coca-Cola na shughuli zake nchini wakati alipotembelea kiwandani hapo. Akifuatilia kwa makini mazungumzo hayo kushoto ni Mkurugenzi wa Uchukuzi wa Coca-Cola Kwanza, Haji Ally Samatta ambaye pia ni mwakilishi wa Coca-Cola Tanzania wa kuitangaza chapa ya kampuni hiyo katika kampeni zake ili kuwahamasisha Watanzania kufikia ndoto zao, alishiriki kwenye uzinduzi wa kampeni ya ‘WASHA MDUNDO.’ |
No comments:
Post a Comment