Kaa karibu na Plus TV channel 294 kwenye king'amuzi cha DStv Jumamosi ya April 24, kwani tukio hili litakuwa mubashara kuanzia saa 2 kamili za usiku na unaweza kutazama moja kwa moja kwa kulipia TShs19,900 tu ya kifurushi chako cha DStv Bomba.
#WIMAAwards2021
#WIMAAwards2021
#ZaidiNaZaidi
No comments:
Post a Comment