Muonekano wa Daraja la Tanzanite ambalo ujenzi wake umefikia asilimia 71.3 na linatarajiwa kukamilika mwishoni mwa mwaka huu. Ujenzi wa daraja hilo linalopita katika bahari ya Hindi unagharimu TShs Bilioni 243 na litasaidia kupunguza foleni katika Jiji la Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment