| Mkurugenzi wa Huduma kwa Wateja Vodacom Tanzania PLC, Harriet Lwakatare (kulia) akimkabidhi zawadi ya Keki mteja wa Vodacom, Paul Bendera mkazi wa Kigamboni kwenye maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika kwenye duka la Vodacom Mlimani City Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja wa Duka la Vodacom Mlimani city, Zabibu Kasele. |
No comments:
Post a Comment