| Meneja Rasilimali watu na Maendeleo wa Vodacom Tanzania PLC, Naiman Moshi akiongea na wahitimu wa mafunzo ya ubunifu wa Website “ Women in Data Science Dar es Salaam 2020" yaliyoandaliwa na Tanzania Data Lab kwa udhamini wa Vodacom Tanzania PLC kupitia programu yake ya Code like a girl yaliyowashirikisha wanafunzi wa kike jijini Dar es Salaam. |
No comments:
Post a Comment