| Mkurugenzi wa Biashara na Huduma za Kidigitali NCBA Bank Tanzania Limited, Gift Shoko akikata utepe kuzindua rasmi Maliwato (Changing room) ya kike kwenye viwanja vya Gofu Lugalo jijini Dar es Salaam. Benki ya NBCA ilidhamini ukarabati wa Maliwato hayo ya kisasa ili kuwezesha wachezaji Gofu wa kike kupata sehemu nzuri ya kubadilishia mavazi yao. Wengine pichani kulia ni Mwenyekiti wa klabu ya Gofu Lugalo, Brigedia Jenerali Mstaafu, Michael Luwoga, kushoto ni Mkurugenzi Mkuu wa Resolution Insurance, Maryanne Mugo na Meneja Mkazi nchini wa GardaWorld, Patrick Karimi. |
No comments:
Post a Comment