Blog Rebranding Teaser_030826

Blog Rebranding Teaser_030826

Stanbic Bank Banner_070826

Stanbic Bank Banner_070826

Absa Loan Campaign_160426

Absa Loan Campaign_160426

Monday, 17 August 2020

VODACOM TANZANIA FOUNDATION YAUNGANISHA WANAFUNZI MAENEO YA PEMBEZONI KUPITIA PROGRAM YA INSTANT SCHOOL

Meneja ruzuku na mawasiliano wa Vodacom Tanzania Foundation, Sandra Oswald akizungumzia namna mradi wa Vodacom Instant Schools unavyounganisha intaneti na kusaidia wanafunzi katika maeneo ya pembezoni kujisomea wakiwa nje ya shule lakini pia jinsi ambavyo program hii inaunganisha shule zilizoko vijijini (School Connectivity). Wengine pichani ni Mhandisi kutoka UCSAF Ritha Kimolo (kushoto) na Msaidizi wa Mradi kutoka ISOC Peter Mmbando.

No comments:

Post a Comment