Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

Monday, 16 March 2020

VODACOM TANZANIA YAAHIDI KUENDELEA KUSAIDIA WABUNIFU NCHINI

Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia akizungumza na wageni waalikwa kwenye kufunga maadhimisho ya wiki ya Ubunifu nchini (Innovation Week 2020) ambayo yalifanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dar Es Salaam. Katika maadhimisho hayo yenye kauli mbiu "Buni kwa Tija" kampuni ya Vodacom iliahidi kuendelea kudhamini na kusaidia wabunifu nchini. 
Mkurugenzi Mkuu wa COSTECH, Dkt. Amos Nungu akizungumza na wageni waalikwa kwenye kufunga maadhimisho ya wiki ya Ubunifu nchini (Innovation Week 2020) ambayo yalifanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi Mkazi wa HDIF, Joseph Manirakiza akizungumza na wageni waalikwa wakati wa kufunga maadhimisho ya wiki ya Ubunifu nchini (Innovation Week 2020) ambayo yalifanyika kwenye ukumbi wa LAPF jijini Dar Es Salaam.
Mkurugenzi wa Uhusiano na Mawasiliano wa Vodacom Tanzania PLC, Rosalynn Mworia (watatu) akikabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya Dola za Kimarekani 5,000 kwa kikundi cha Kuku Kalenda App.










No comments:

Post a Comment