Kuna vingi ambavyo hata ukivikosa sio ishu lakini hii ya @koffiolomide_officel LIVE in DAR, sio ya kukosa maana tunautambua uwezo wa Mopao akiwa jukwaani.
Atazishusha Rhumba kwa style ya aina yake pale Mlimani City, Tarehe 7 machi (jumamosi hii usiku) huku mchongo mzima ukiwa LIVE ndani ya Clouds Plus pekee kupitia king'amuzi cha DStv Channel Namba 294.
Njoo uwe sehemu ya Historia hii kubwa ya kiburudani.
#PlusXtraUpdates #CloudsPlus #DStvChannel294
No comments:
Post a Comment