Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday 8 November 2019

KAMPUNI YA AGGREY & CLIFFORD YANG’ARA TUZO ZA TOP 100 MID-SIZED COMPANIES

Mkurugenzi wa Mawasiliano wa Kampuni ya Aggrey & Clifford, Ibrahim Kyaruzi (kulia), akipokea tuzo kwa niaba ya kampuni kutoka kwa Mkurugenzi wa kampuni ya Bankable Tanzania Limited Lawrence Mafuru (kushoto).

Kampuni ya matangazo na ukuzaji masoko ya Aggrey & Clifford, kwa mara nyingine imepata tuzo kutokana na kuwa miongoni mwa makampuni 100 ya kati yanayofanya vizuri kibiashara.

Kampuni ya Aggrey & Clifford ambayo hivi karibuni ilisherehekea miaka kumi tangu kuanzishwa kwake, ilitunukiwa tuzo hiyo hivi karibuni jijini Dar es Salaam kwenye hafla fupi iliyofanyika Serena Hotel.

No comments:

Post a Comment