| Ofisa Mtendaji Mkuu wa Benki ya Exim Tanzania, Bw Jaffari Matundu (katikati) akiongea na mmoja wa wateja wa benki hiyo kupitia simu alipotembelea chumba cha mawasiliano kwa wateja (Call Centre) cha benki hiyo wakati wa hafla ya maadhimisho ya wiki ya huduma kwa wateja iliyofanyika makao makuu ya benki hiyo jijini Dar es Salaam mwishoni mwa wiki. Wengine ni pamoja na Mkuu wa Idara ya Amana wa Benki hiyo, Bi Agnes Kaganda (kushoto). |
No comments:
Post a Comment