| Naibu Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya Exim, Jaffari Matundu (wa pili kushoto) akiwa katika picha ya pamoja na Mshiriki wa Golf toka Rotary club ya Arusha mara baada ya kufungua rasmi mashindano hayo katika viwanja vya Gymkana Arusha. Wengine ni Meneja wa Matawi ya Exim kanda ya Kaskazini Amos Lymo (kushoto) na Meneja wa Masoko na Mawasiliano Abdulrahman Nkondo (kulia). |
No comments:
Post a Comment