| Mkurugenzi Mtendaji wa Dar Teknohama Business Incubator (DTBi), Mhandisi Dkt. George Mulamula (wa pili kulia) akiongea na wafanyakazi wa Vodacom wakati wa uzinduzi wa duka jipya la Vodashop lenye sehemu maalum ya kutengenezea simu na kuhifadhi na kuhamisha kumbukumbu lililopo makao makuu ya kampuni hiyo Vodacom Tower, Morocco jijini Dar es Salaam. Wapili kushoto ni Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uhusiano wa Vodacom Tanzania Plc, Rosalynn Mworia, Kushoto ni Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani George Lugata na Meneja wa maduka ya Rejareja ya Vodacom Tanzania, Happiness Macha. |
No comments:
Post a Comment