| Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Mrisho Gambo, akimpongeza Mkurugenzi Mtendaji wa NMB Bank PLC, Bi Ineke Bussemaker baada ya uzinduzi rasmi wa tawi la NMB Ngaramtoni lililopo katika wilaya ya Arumeru katika Mkoa wa Arusha. Uzinduzi wa tawi hili unafanya NMB kua na matawi zaidi ya 212 nchi nzima. Hii ni katika jitihada za kusogeza huduma za kibenki karibu zaidi na wateja wake. |
No comments:
Post a Comment