Meneja Mahusiano wa
Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto), akizungumza wakati wa uzinduzi rasmi
wa Klabu ya Biashara ya benki hiyo mjini Kahama, Shinyanga jana. Klabu hiyo
imeanzishwa kusaidia mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati.
Katikati ni mmoja wa wateja, Salum Selemani na Joshua John (kulia), Ofisa
Masoko wa Chama cha Wafanyabiashara wenye Viwanda na Kilimo (TCCIA) kutoka
ofisi ya Mwanza.
Meneja Mahusiano wa
Benki ya NBC, William Kallaghe (kushoto), akizungumza na baadhi ya
wafanyabiashara wa mjini Kahama, katika semina iliyoandaliwa kabla ya
uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya NBC hiyo iliyoanzishwa kusaidia
mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Hafla ya uzinduzi
ilifanyika mjiini Kahama, Shinyanga jana.
Meneja wa Kanda wa NBC,
Daudi Mfalla (kulia), akizungumza wakati akizungumza katika hafla ya
uzinduzi rasmi wa Klabu ya Biashara ya NBC iliyoanzishwa kusaidia
mahitaji ya wateja wafanyabiashara wadogo na wa kati. Kushoto ni Mkuu wa
Kitengo cha Wafanyabiashara wadogo na wakati wa NBC, Evance Luhimbo.
No comments:
Post a Comment