Waziri wa Fedha na Mpango Mhe.Dr.Philip Mpango akiwaonyesha waandishi wa Habari mkoba wenye hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini Dodoma tarehe 8thJune 2018.
Waziri wa Fedha na Mpango Mhe.Dr.Philip Mpango akiwasilisha Bungeni mapendekezo ya Serikali kuhusu makadirio ya Mapato na Matumizi ya Fedha kwa mwaka 2017/18.
Wabunge wakiingia Ukumbi wa
Bunge kusikiliza hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini
Dodoma tarehe 8th June 2018.
Wabunge wakisikiliza hotuba ya Bajeti ya Serikali
kwa mwaka 2017/2018 leo Bungeni Mjini Dodoma tarehe 8thJuni 2018.
Picha zote na MAELEZO,DODOMA.
No comments:
Post a Comment