Washiriki wa
shindano la Shika Ndinga linaloendeshwa na kituo cha redio Efm na kudhaminiwa
na Kampuni ya Zantel wakichuana katika mwendelezo wa kampeni ya Shika Ndinga
iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwinjuma Mwananyamala jijini
Dar es Salaam. Washiriki wawili kila mmoja alijinyakulia pikipiki yenye thamani
ya Tsh1.9 milioni baada ya kuibuka na ushindi.
Washiriki watano kwa upande wa wanawake na watano kwa upande wa wanaume
walifuzu hatua ya mchujo.
Mmoja kati
ya majaji (mwenye fulana nyeupe) katika shindano la Shika Ndinga linaloendeshwa
na kituo cha redio cha Efm na kudhaminiwa na Kampuni ya Zantel akifuatilia
washiriki waliokuwa wakichuana katika mwendelezo wa kampeni ya ‘Shika Ndinga’
iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwinjuma Mwananyamala jijini
Dar es Salaam. Washiriki wawili kila mmoja alijinyakulia pikipiki yenye thamani
ya Sh1.9 milioni baada ya kuibuka washindi.
Washiriki watano kwa upande wa wanawake na watano kwa upande wa wanaume
walifuzu hatua ya mchujo.
Alphonse
Daudi, mkazi wa Gongo la Mboto akifurahi baada ya kukabidhiwa pikipiki yenye
thamani ya Sh1.9 millioni aliyoshindi kwa upande wa wanaume wakati wa kampeni
ya ‘Shika Ndinga’ inayoendeshwa na kituo cha redio cha Efm na udhaminiwa na
kampuni ya Zantel iliyofanyika mwishoni mwa wiki katika viwanja vya Mwinjuma,
Mwananyamala jijini Dar es Salaam. Kushoto ni meneja uhusiano na matukio kutoka
Efm Neema Mukurasi. Katika mwendelezo wa kampeni hiyo, washiriki wawili kila
mmoja alijinyakulia pikipiki. Washiriki watano kwa upande wa wanawake na watano
kwa upande wa wanaume walifuzu hatua ya mchujo.
Baadhi ya wakazi wa Mwananyamala wakifuatilia kwa karibu shindano hilo lililofanyika mwishoni mwa wiki jijini Dar es salaam.
No comments:
Post a Comment