Foreign Exchange Rates

CRDB Bank Advert_070325

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Wednesday, 12 October 2016

WAFANYAKAZI WA SHIRIKA LA ENGENDER HEALTH WAMKARIBISHA RAIS WAO HAPA NCHINI

Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller akizungumza na wadau wa afya na wadau wa Elimu kuhusiana na Uzazi wa Mpango wakati wa hafla fupi iliyofanyika jijini Dar es Salaam kwaajili ya Kumkaribisha hapa nchini.
Naibu Mkurugenzi Mkazi wa Shirika la EngenderHealth, Feddy Mwanga akizungumza na wadau wa Afya na elimu wakati wa kumkaribisha Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller jijini Dar es Salaam.



Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller akizungumza na wadau wa afya pamoja na wadau wa elimu katika hafla fupi ya kumkaribisha hapa nchini.
Mkurugenzi Mkazi wa shirika la EngenderHealth hapa nchini, Richard Killian akibadilishana mawazo na baadhi ya wadau wa afya na elimu katika hafla ya Kumkaribisha Rais na Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la EngenderHealth, Ulla Muller hapa nchini.

No comments:

Post a Comment