| Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, John Mongella (katikati) akikata utepe kuzindua rasmi tawi la benki ya FNB Tanzania la Mwanza jana jijini humo huku akiambatana na Mkuu wa Biashara wa FNB Tanzania, Francois Botha (kushoto) pamoja na Mkurugenzi Mkuu wa Nyanza Bottling, Christopher Gachuma (kulia) na Alex Mziray, Mkurugenzi wa Fedha wa benki hiyo. |
No comments:
Post a Comment