Foreign Exchange Rates

DStv Advert_010224

DStv Advert_010224

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday 18 November 2015

KAMPUNI YA TIGO YADHAMINI MASHINDANO YA UVUVI YA WAZI SLIPWAY

Wasimamizi wa shindano la wazi la uvuvi la Slipway wakipima mmoja kati ya samaki walioshindanishwa kwenye shindano hilo lililodhaminiwa na Tigo hivi karibuni.
Sehemu ya muonekano ambapo mashabiki walikuwa wakisubiria wavuvi kutoka baharini.
Sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma toka kwa watoa huduma wa Tigo ikiwa ni sehemu mojawapo ya huduma zilizokuwa zinapatikana kwenye shindano hilo.
Washindi wa kwanza shindano la wazi la uvuvi Slipway ambao walijishindia mashine ya Yamaha, kutoka kushoto, Akida Hamad, Ali Mwinshehe na simon Aloyce wakiwa na zawadi yao, shindano hilo lilidhaminiwa na Tigo.
Washindi wa pili shindano la wazi la uvuvi Slipway ambao walijishindia solar power, kutoka kushoto, Stamili Seleman na Jumaa Halfan wakiwa na zawadi yao, shindano hilo lilidhaminiwa na Tigo.
Sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma toka kwa watoa huduma wa Tigo ikiwa ni sehemu mojawapo ya huduma zilizokuwa zinapatikana kwenye shindano hilo.
Sehemu ya wateja wa Tigo wakipata huduma toka kwa watoa huduma wa Tigo ikiwa ni sehemu mojawapo ya huduma zilizokuwa zinapatikana kwenye shindano hilo.

No comments:

Post a Comment