Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Monday, 17 August 2015

KAMPUNI YA TIGO YATOA MSAADA HOSPITALI YA RUFAA YA LIGULA MKOANI MTWARA

Meneja wa kampuni ya Tigo kanda ya Kusini, (kulia) Lilian Mwalongo akizungumza na waandishi na uongozi wa hospitali ya Rufaa ya Ligula mkoani Mtwara wakati wa kukabidhi msaada wa vyandarua 1,000 vyenye thamani ya milioni 15. Aliyekaa (katikati) ni Kaimu Mkuu wa Mkoa wa Mtwara, Alfred Luanda na (kushoto) Mganga mkuu wa mkoa, Dk. Shaibu Maarifa.
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mtwara ambaye ni Katibu Tawala, Alfred Luanda (katikati) akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhiwa vyandarua 1,000 vyenye thamani ya milioni 15 kutoka kampuni ya Tigo. Kushoto ni Mganga Mkuu wa Mkoa, Dk. Shaibu Maarifa na kulia ni Dk. Mdoe Huhuza.
Kaimu Mkuu wa mkoa wa Mtwara ambaye ni katibu Tawala, Alfred Luanda akiwa ameshikilia baadhi ya vyandarua walivyokabidhiwa na kampuni ya Tigo vipatavyo 1,000 vyenye thamani ya milioni 15 kama sehemu ya uzinduzi.
Mganga Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Shaibu Maarifa akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi vyandarua kutoka kwa kampuni ya Tigo vyenye thamani ya milioni 15, akifuatiwa na Kaimu Mkuu wa mkoa Alfred Luanda, akifuatiwa na Dk. Mdoe Muhuza.

No comments:

Post a Comment