Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 14 July 2015

RAIS KIKWETE AELEKEA GENEVA LEO KWA ZIARA YA KIKAZI

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Said Meck Sadick wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na Mkuu wa Majeshi Jenerali Davis Mwamunyange na Mkuu wa Jeshio la Polisi IGP Ernest Mangu
wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi.
Rais Jakaya Mrisho kikwete akiagana na makada wa CCM wakati akiondoka leo katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Dar es salaam kuelekea Geneva kwa ziara ya kikazi. Makada hao walikuwa uwanjani hapo kwa mapokezi ya mgombea Urais wa CCM Dkt John Pombe Magufuli.



PICHA NA IKULU

No comments:

Post a Comment