Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Tuesday, 7 July 2015

OFISI NDOGO YA MAMLAKA YA BANDARI TANZANIA (TPA) YAZINDULIWA MJINI LUSAKA, ZAMBIA

Naibu Waziri wa Uchukuzi, Dr. Charles Tizeba (kushoto), Waziri wa Usafirishaji, Kazi na Mawasiliano wa Zambia, Bw. Yamfwa Mukanga (katikati) na Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Grace Mujuma wakati wa uzinduzi rasmi wa ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lusaka hivi karibuni.
Balozi wa Tanzania nchini Zambia, Grace Mujuma (katikati) akifurahia baada ya uzinduzi rasmi wa ofisi ndogo ya Mamlaka ya Bandari Tanzania (TPA) mjini Lusaka hivi karibuni. Ofisi hiyo ilizinduliwa na Waziri wa Usafirishaji, Kazi na Mawasiliano wa Zambia, Bw. Yamfwa Mukanga (kushoto); kulia ni Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TPA, Bw. Awadh Massawe.

No comments:

Post a Comment