Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday, 15 July 2015

KAMPUNI YA TIGO YATOA ZAWADI YA EID NA KUFUTURISHA MKOANI SINGIDA

Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe (mwenye miwani) akikabidhi zawadi za sikukuu ya Eid kwa Msemaji mkuu wa msikiti wa Taqwa Singida Mjini, Sheikh Saad Mhando kabla ya kupata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo mkoani humo.
Meneja huduma kwa wateja Tigo Kanda ya Kaskazini, Gwamaka Mwakilembe (mwenye miwani) akiwa pamoja na Masheikh na watoto wa Msikiti wa Taqwa mjini Singida kwenye dua ya pamoja.
Wahudumu wa chakula wakitoa huduma kwa waalikwa.
Waalikwa wakipata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo Mkoani Singida.
Waalikwa wakipata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo Mkoani Singida.
Wahudumu wa chakula wakitoa huduma kwa waalikwa.
Waalikwa wakipata futari iliyoandaliwa na Kampuni ya Tigo Mkoani Singida.

No comments:

Post a Comment