Wakuu wa Makampuni Makubwa ya India wakimsikiliza Rais Kikwete. Baadhi ya Makampuni hayo tayari yalishawekeza nchini Tanzania na Makampuni mengine yalionesha dhamira ya kuja kuwekeza. |
Mkurugenzi Mkuu wa Kituo cha Uwekezaji Tanzania (TIC), Bi. Juliet Kairuki akiteta jambo na Mhe. Rais kabla ya mazungumzo na Wakuu wa Makampuni ya India. |
Kiongozi wa Chama cha Wafanyabiashara wa India akimkabidhi, Mhe. Rais zawadi. |
Waziri wa Viwanda na Biashara, Mhe. Abdallah Kigoda (Mb) (kulia) akizungumza jambo na mmoja wa Wakuu wa Makampuni ya India. Mwingine kushoto ni Waziri wa Maji, Mhe. Prof. Jumanne Maghembe (Mb). |
Mkurugenzi Msaidizi katika Wizara ya Mambo ya Nje, Bw. Nathaniel Kaaya naye akiwa katika kubadilishana mawazo na wawakilishi wa India. |
No comments:
Post a Comment