Mtoto anayeugua ugonjwa wa Sikoseli, Nasma Khalid (wa pili kushoto), akikata keki wakati wa utambulisho wa Maadhimisho ya Siku ya Sikoseli Duniani kwenye Hospitali ya Taifa ya Muhimbili (MNH), jijini Dar es Salaam leo. Wanaongalia kutoka kushoto mstari wa nyuma ni; Mkuu wa Idara ya Magonjwa ya Damu ya MNH, Dk. Stella Rwezaura, Mratibu wa Tiba na Tafiti, Dk. Furahini Chinenere, Mratibu wa Upimaji Sikoseli kwa Watoto, Dk. Deogratius Soka na baadhi ya watoto wanaougua sikoseli. Siku ya Sikoseli Duniani huadhimishwa Juni 19 kila mwaka. |
No comments:
Post a Comment