Meneja wa Mawasiliano wa Tigo John Wanyancha akisisitiza jambo mara baada ya kampuni ya Tigo kutoa msaada wa dola za kimarekani 150,000 kwa hospital ya CCBRT leo. |
Mama ambaye mtoto wake amezaliwa na tatizo la kupinda miguu, Joyce Mushi akitoa ushuhuda jinsi gani mwanae alipatiwa matibabu na hospitali ya CCBRT. |
Sehemu ya waandishi wa habari waliohudhuria hafla ya makabidhiano ya dola za kimarekani 150,00 baina ya Tigo na CCBRT. |
No comments:
Post a Comment