Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday, 10 June 2015

DKT. BILAL AWASILI SHARM EL SHEIKH KUHUDHURIA MKUTANO WA TATU WA WAKUU WA NCHI NA SERIKALI YA UTATU WA JUMUIYA YA AFRIKA MASHARIKI (EAC)

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwasili kwenye Uwanja wa wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri, kwa ajili ya kuhudhuri Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Uchukuzi wa Egypt, Hossam Kamal, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri, kwa ajili ya kuhudhuri Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Agenda ya mkutano huo ni kupokea taarifa ya majadiliano ya kuanzisha eneo huru la Biashara la Utatu wa EAC, COMESA na SADC.
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akisalimiana na Waziri wa Afrika Mashariki, Dkt. Harrison Mwakyembe, wakati alipowasili kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri, kwa ajili ya kuhudhuri Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC).
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiagana na Waziri wa Uchukuzi wa Egypt, Hossam Kamal, kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Sharm El Sheikh, jijini Sharm El Sheikh Cairo Misri. Dkt. Bilal, amewasili Jijini Sharm El Sheikh kwa ajili ya kuhudhuri Mkutano Mkuu wa tatu wa Wakuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki (EAC), Soko la pamoja la nchi za Kusini mwa Afrika (COMESA) na Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC). Picha na OMR.

No comments:

Post a Comment