Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Friday, 5 June 2020

DStv INAKULETEA WWE SMACKDOWN LIVE SAA 9 ALFAJIRI YA KUAMKIA JUMAMOSI WIKIENDI HII



Wapenzi wa WWE ni wikiendi nyingine tena. Na kama kawaida DStv kupitia chaneli maalumu ya WWE 128 inakupa kutazama mastaa wako siku 7 za wiki kwa saa 24.

Ukianza na WWE SmackDown Live saa 9 alfajiri ya kuamkia Jumamosi.

Yote haya utayapata ndani ya kifurushi cha Compact.

Mteja wa kifurushi cha Family lipia sasa TShs. 29,000 na DStv itakupandisha mpaka kifurushi cha Compact kwa mwezi mzima bila malipo ya ziada ili uweze kufurahia burudani hii.

Piga sasa 0659 070707 kujiunga na DStv!


#TupoNawe

No comments:

Post a Comment