| Waziri wa Maendeleo ya Mifugo na Uvuvi, Dr, Titus Kamani, (kulia) akisalimiana na Meneja Uendeshaji na Huduma kwa wateja wa benki ya Exim Tanzania tawi la Babati mkoani Manyara Bw. John Ndyebonera, alipotembelea kwenye banda la maonyesho la benki hiyo ambayo ilishiriki kwenye maadhimisho ya 18 ya wiki ya maziwa yaliyofanyika kitaifa wilayani Babati hivi karibuni. Wengine ni wafanyakazi pia wa benki hiyo. |
No comments:
Post a Comment