Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Wednesday, 15 April 2015

WAZIRI MEMBE KUSHIRIKI MKUTANO WA KUZUIA UHALIFU NA HAKI ZA WAHALIFU NCHINI QATAR

Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Mh. Bernard Membe (Mb.) akiwa na Waziri wa Mambo ya Nje wa Qatar Mh. Dkt. Khalid Mohamed Al Attiyah, walipokutana na kufanya mazungumzo kuhusu kuendeleza mahusiano kati ya Tanzania na Quatar pia kutangaza Fursa za uwekezaji nchini Tanzania. Waziri Membe yupo nchini Qatar kwa madhumuni ya kushiriki mkutano kuhusu Kuzuia Uhalifu na Haki za Waalifu.
Mazungumzo yakiendelea.
Waziri Membe akiwa Katika picha ya pamoja na Bw. Noel Kaganda Mshauri wa maswala ya kisheria wa Rais wa kikao cha 69 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa, Mhe. Sam Kahamba Kutesa.
Foreign Affairs Blog

No comments:

Post a Comment