| Katibu mkuu, Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, akifafanua jambo katika kikao kifupi ofisini kwake, baina ya Waziri wa Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mh. Willium Lukuvi, National Housing Coorporation na ujumbe wa Kampuni ya Surbana International Pty Ltd ya nchini Singapore. |
No comments:
Post a Comment