| Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na wakuu wenzake wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, jijini Kigali, Rwanda mchana huu. Wengine toka kulia ni Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya, Rais Yoweri Museveni wa Uganda, mwenyeji wao Rais Paul Kagame wa Rwanda na Rais Salva Kiir wa Sudan ya Kusini ambaye amehudhuria kama mwalikwa. (Picha na Fred Maro). |
No comments:
Post a Comment