Foreign Exchange Rates

Selcom Pesa Advert_110225

Selcom Pesa Advert_110225

Standard Chartered Advert_300125

Standard Chartered Advert_300125

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

Tuesday, 17 March 2015

BENKI YA UBA YAENDELEA NA UTARATIBU WA KUPIGA TIZI PAMOJA NA WATEJA WAO

Wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), wakishindana kuvuta kamba wakati wa mazoezi waliofanya jijini Dar es Salaam jumamosi kutokana na utaratibu waliojiwekea kwa kila baada ya miezi mitatu kufanya mazoezi pamoja na wateja wao.
Mwalimu wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu wa mazoezi hayo, FIAT, Ray Mwamakula (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi na wateja wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), kufanya mazoezi Dar es Salaam jumamosi.
Mwalimu wa mazoezi ya viungo kutoka Chama cha walimu wa mazoezi hayo, FIAT, Ray Mwamakula (kushoto) akiwaongoza wafanyakazi wa Benki ya UBA (United Bank for Africa), kufanya mazoezi Dar es Salaam jumamosi.

No comments:

Post a Comment