Foreign Exchange Rates

DStv Advert_090724

DStv Advert_090724

SBT Tanzania Advert_291123

Friday, 20 February 2015

NMB YADHAMINI MKUTANO WA PSPF KWA MILIONI 10

Afisa Mkuu wa kitengo cha biashara ya jumla wa NMB Ndugu Richard Makungwa, (Kushoto), akimkabidhi mfano wa hundi yenye thamani ya shilingi milioni 10, Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF - Adam Mayingu (kulia). Katikati ni Meneja Mwandamizi wa kitengo cha biashara za Kitaasisi NMB Noela Kivaria.
Afisa Mkuu wa kitengo cha biashara ya jumla wa NMB Ndugu Richard Makungwa (Kulia) pamoja Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PSPF - Adam Mayingu, wakiashiria ushirikiano wa taasisi mbili kwa kugongesha vinywaji vyao wakati wa hafla ya chakula cha jioni iliyoandaliwa na NMB kwa wadau wa PSPF.
Maofisa wa NMB wakifuatilia jambo la muhimu wakati wa hafla hiyo ya PSPF iliyofadhiliwa na Benki ya NMB.
Michuzi Blog

No comments:

Post a Comment