Foreign Exchange Rates

DStv Advert_020324

DStv Advert_020324

SBT Tanzania Advert_291123

Thursday 5 February 2015

MSHINDI WA PROMOSHENI YA WEKA UPEWE YA NBC AONDOKA NA BAJAJI JIJINI MWANZA

Mshindi wa pikipiki aina ya Bajaj kupitia promosheni ya 'Weka Upewe' ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Judith Gwimile (wa nne kushoto), akikabidhiwa kadi ya Bajaj na kibao cha namba na Meneja wa Tawi la benki ya NBC Mwanza, Godhard Hunja, jijini humo. Wengine ni baadhi ya wafanyakazi wa benki hiyo tawini hapo.
Mshindi wa pikipiki aina ya Bajaj kupitia promosheni ya 'Weka Upewe' ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Judith Gwimile akiwa ndani ya bajaji hiyo mara baada ya kukabidhiwa na Meneja wa Tawi la benki ya NBC Mwanza, Godhard Hunja (katikati), jijini humo. Kushoto ni Meneja Uendeshaji wa benki hiyo tawi la Mwanza, Margareth Touwa.
Mshindi wa pikipiki aina ya Bajaj kupitia promosheni ya 'Weka Upewe' ya Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Judith Gwimile (katikati), akibadilishana mawazo na Meneja wa Tawi la benki ya NBC Mwanza, Godhard Hunja (kulia) huku wafanyakazi wengine wa benki hiyo wakimsikiliza katka hafla hiyo.

No comments:

Post a Comment